-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya balungi, ni kinywaji kizuri na rahisi kutengeneza, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda ya balungi, limao, apple, pamoja na maji. Kinywaji hiki husaidia sana katika kuongeza Vitamini C mwilini. Lemonade hii yafaa zaidi kunywa katika kipindi cha joto. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya balungi.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, limao, balungi, apple, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review