-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya pichi, ni kinywaji kizuri, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha, ambacho hutengenezwa kwa kutumia pichi, malimao, apple na maji. Kunywa lemonade hii hasa katika msimu wa matunda ya pichi, ili upate faida za kiafya zitokanazo na tunda hili. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeza lemonade hii ya pichi.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, pichi, malimao, apple, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review