-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji1
Smoothie ya kahawa, ni smoothie ambayo hutengezwa kwa kutumia chembechembe halisi za kahawa. Ikiwa wewe ni mpenzi wa kahawa, basi nakuhakikishia utakipenda kinywaji hiki kilicho sheheni ladha ya kahawa. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya kahawa.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, sukari, pamoja na chembechembe za kahawa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review