-
MaandaliziDakika 10
-
Kupika-
-
Walaji1
Smoothie ya strawberry na karanga, ni kinywaji kizuri na cha kuburudisha kilicho sheheni virutubisho vya Vitamini pamoja na Protini kwa wingi. Kinywaji hiki chafaa sana kunywa hasa baada kutoka kufanya mazoezi au kazi ngumu. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya strawberry na karanga.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, matunda ya strawberry, ndizi, pamoja na siagi ya karanga, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review