Jarida la Mapishi

Achari ya kijani

Achari ya kijani | Jarida la Mapishi
  • Maandalizi
    -
  • Kupika
    -
  • Walaji
    1

Achari ya kijani, ni achari ambayo hutengenezwa kwa kutumia mimea yenye rangi ya kijani kama vile, majani ya minti, majani ya giligilani, pamoja na vitunguu vya kijani. Achari hii yafaa kutumika kwenye vitafunio kama vile sandwich. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza achari hii ya kijani.

Ingredients

    Directions

    Step1

    Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, vitunguu vya kijani, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri.

    Step2

    Weka majani ya minti pamoja na majani ya giligilani, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vyema.

    Step3

    Weka limao, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

    Step4

    Weka sukari, chumvi, pamoja na pilipili manga, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wote umechanganyika vizuri.

    Step5

    Weka achari hiyo kwenye chombo safi chenye mfuniko, kisha hifadhi kwenye friji.

    Unaweza Pia Kusoma Hizi

    Leave a Review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *


    The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.