-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji1
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, majani ya giligilani, limao, chumvi, tangawizi, maembe, pamoja na pilipili manga, kisha saga hadi utakaopo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Ondoa mchanganyiko huo kutoka kwenye mashine ya kusaga, kisha uhifadhi kwenye chombo chenye mfuniko na kutumia kidogo kidogo kwenye chakula cha aina yoyote ile.
Leave a Review