-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji1
Ingredients
Directions
Step1
Chukua kontena. Weka ndani ya hilo kontena, majani ya giligilani, lozi, mtindi, limao, tangawizi, chumvi, pamoja na pilipili manga, halafu changanya vizuri, kisha weka mchanganyiko huo pembeni utulie kwa muda wa saa 4.
Step2
Baada ya saa 4, weka Chaat Masala, kisha koroga vizuri, tayari kwa kutumia kwenye chakula chochote ukipendacho.
Leave a Review