Jarida la Mapishi

Achari ya nazi

  • Maandalizi
    -
  • Kupika
    Dakika 5
  • Walaji
    1

Ingredients

    Directions

    Step1

    Chukua kikaango cha ukubwa wa wastani na ukiweke kwenye jiko lenye moto wa wastani, kisha acha kikaango kipate moto. Weka nazi kwenye hicho kikaango, halafu kaanga bila kutumia mafuta huku ukikoroga na kutikisa kikaango mara kwa mara kwa muda wa dakika 2 mpaka 3, au hadi utakapo ona imebadilika rangi na kuwa na rangi ya kahawia, kisha epua na uweke pembeni ili ipoe.

    Step2

    Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, majani ya giligilani, majani ya minti, vitunguu swaumu, Tamarind Paste, chumvi, pamoja na maji, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri.

    Step3

    Weka nazi uliyo ikaanga, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.

    Step4

    Weka achari hiyo kwenye chombo safi chenye mfuniko, kisha hifadhi kwenye friji.

    Unaweza Pia Kusoma Hizi

    Leave a Review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *


    The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.