-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji1
Achari ya vitunguu vya kijani na tangawizi, ni achari inayo tengenezwa kwa kusaga mchanganyiko wa vitunguu vya kijani, tangawizi, limao, mtindi, pamoja na viungo. Achari hii yafaa kutumika kwenye vitafunio vya vifungua kinywa kama vile chapati. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza achari hii ya vitunguu vya kijani na tangawizi.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, tangawizi, vitunguu vya kijani, limao, pamoja na mtindi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri.
Weka sukari, chumvi, pamoja na majani ya giligilani, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo wote umesagika vyema na kuwa laini.
Weka achari hiyo kwenye chombo safi chenye mfuniko, kisha hifadhi kwenye friji.
Leave a Review