Biringanya zenye ukwaju
Biringanya zenye ukwaju, ni mboga tamu yenye viungo, iliyo sheheni ladha ya utamu na uchachu, ambao unatokana na ukwaju unaowekwa
READ MOREMboga ya njegere na vitunguu
Mboga ya njegere na vitunguu, ni mboga tamu na rahisi kupika, ambayo hupikwa kwa kutumia njegere, vitunguu maji, pamoja na
READ MOREViazi vyenye karanga
Viazi vyenye karanga, ni chakula kitamu na rahisi kupika, ambacho hupikwa kwa kutumia viazi mviringo, karanga, limao, pamoja na viungo
READ MOREBiringanya zenye vitunguu swaumu
Biringanya zenye vitunguu swaumu, ni mboga tamu ambayo hupikwa kwa kutumia biringanya, vitunguu maji, nyanya, pamoja na viungo vya aina
READ MOREViazi vyenye binzari nyembamba
Viazi vyenye binzari nyembamba, ni chakula ambacho hupikwa kwa kutumia viazi mviringo, limao, pamoja na viungo vya aina mbalimbali, kama
READ MOREMchuzi wa nyanya
Mchuzi wa nyanya, ni mboga tamu iliyo sheheni ladha ya uchachu, ambayo hupikwa kwa kutumia nyanya zilizoiva, vitunguu maji, pamoja
READ MOREBiringanya zenye giligilani
Biringanya zenye giligilani, ni mboga tamu ambayo hupikwa kwa kutumia biringanya pamoja na viungo vya aina mbalimbali, kama vile majani
READ MOREMboga ya njegere na viazi
Mboga ya njegere na viazi, ni mboga ambayo hupikwa kwa kutumia njegere zilizo chemshwa, viazi mviringo, nyanya, pamoja na viungo
READ MOREMboga ya kauliflawa, viazi na njegere
Mboga ya kauliflawa, viazi na njegere, ni mboga tamu ambayo hupikwa kwa kutumia kauliflawa, viazi mviringo, pilipili hoho, njegere, pamoja
READ MOREViazi vyenye vitunguu na nyanya
Viazi vyenye vitunguu na nyanya, ni chakula kizuri kilicho sheheni wanga, ambacho hupikwa kwa kutumia viazi mviringo vilivyo chemshwa, kitunguu,
READ MORE