Jarida la Mapishi

Mboga

Mchuzi wa tanipu

  • 0 / 5

Mchuzi wa tanipu, ni mchuzi wenye ladha nzuri ambao hupikwa kwa kutumia tanipu, majani ya tanipu, vitunguu maji, nyanya, pamoja

READ MORE

Mboga ya karoti na nazi

  • 0 / 5

Mboga ya karoti na nazi, ni mboga tamu na yenye afya ambayo hupikwa kwa kumia karoti, dengu, limao, viungo, viazi

READ MORE

Biringanya zenye viazi

  • 0 / 5

Biringanya zenye viazi, ni chakula kitamu na rahisi kupika hupikwa kwa kutumia biringanya, viazi mviringo, pamoja na viungo vya aina

READ MORE

Mchuzi wa viazi na njegere

  • 0 / 5

Mchuzi wa viazi na njegere, ni chakula kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia, viazi mviringo, njegere, tomato sauce, pamoja na viungo

READ MORE

Maboga yenye komamanga

  • 0 / 5

Maboga yenye komamanga, ni chakula ambacho hupikwa kwa kutumia maboga, viungo, pamoja na mbegu za kokamanga zilizo kaushwa na kusagwa.

READ MORE

Biringanya zenye nazi

  • 0 / 5

Biringanya zenye nazi, ni mboga tamu iliyo sheheni ladha ya nazi, ambayo hupikwa kwa kutumia biringanya, nazi, kitunguu maji, majani

READ MORE

Viazi vitamu vya kuchemsha

  • 0 / 5

Viazi vitamu vya kuchemsha, ni chakula kizuri chenye afya kilicho sheheni virutubisho vingi hasa Wanga, Vitamini A, Vitamini C, pamoja

READ MORE

Viazi vya kuponda

  • 0 / 5

Viazi vya kuponda, ni chakula kitamu, rahisi kupika na chenye afya. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia viazi mviringo vilivyo chemshwa,

READ MORE

Magimbi ya kuoka

  • 0 / 5

Magimbi ya kuoka, ni chakula chenye ladha nzuri, ambacho hupikwa kwa kutumia magimbi yaliyo chemshwa, limao, pamoja na viungo vya

READ MORE

Mchuzi wa bamia

  • 0 / 5

Mchuzi wa bamia, ni mboga tamu inayopikwa kwa kutumia bamia mbichi, vitunguu, nyanya pamoja na viungo. Mboga hii yafaa kuliwa

READ MORE