Mkate wa zucchini na ndizi
Mkate wa zucchini na ndizi, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia zucchini iliyokunwa pamoja na ndizi mbivu zilizo katwa katwa.
READ MOREMkate wa nazi na zucchini
Mkate wa nazi na zucchini, ni mkate mtamu ambao hupikwa kwa kutumia nazi iliyokunwa, tui la nazi, zucchini iliyokunwa, pamoja
READ MOREMkate wa zucchini
Mkate wa zucchini, ni mkate mtamu na rahisi kupika, ambao hupikwa kwa kutumia zucchini zilizo kunwa. Mkate huu wafaa sana
READ MOREMkate wa limao na zucchini
Mkate wa limao na zucchini, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia limao iliyo kamuliwa na maganda yake kukunwa, pamoja na
READ MOREMkate wa maboga na machungwa
Mkate wa maboga na machungwa, ni mkate ambao asili yake ni kutoka nchini Ukrainia. Mkate huu hupikwa kwa kutumia boga
READ MOREMkate wa maboga na nazi
Mkate wa maboga na nazi, ni mkate mtamu na rahisi kupika, ambao hupikwa kwa kutumia boga lililo sagwa, tui la
READ MOREMkate wa aprikoti na viazi vitamu
Mkate wa aprikoti na viazi vitamu, ni mkate unaopikwa kwa kutumia matunda halisi ya aprikoti pamoja na viazi vitamu vilivyo
READ MOREMkate wa jozi
Mkate wa jozi, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia unga wa ngano, maziwa, jozi, pamoja na viungo. Mkate huu wafaa
READ MOREMkate wa pekani
Mkate wa pekani kama jina lake lilivyo, ni mkate unaopikwa kwa kutumia njugu za pekani. Ukiachana na njugu za pekani,
READ MOREMkate wa buttermilk
Mkate wa buttermilk, ni mkate laini na wenye harufu nzuri ya kuvutia. Buttermilk inayowekwa katika mkate huu, husaidia kulainisha mkate
READ MORE