Jarida la Mapishi

Mikate

Mkate wa machungwa na chocolate

  • 0 / 5

Mkate wa machungwa na chocolate, ni mkate ambao wafaa kula hasa katika sherehe. Mkate huu ambao ni rahisi sana kupika,

READ MORE

Mkate wa machungwa

  • 0 / 5

Mkate wa machungwa, ni mkate rahisi kupika wenye ladha nzuri ya machungwa. Tofauti na mikate mingine, ladha ya mkate huu

READ MORE

Mkate wa lozi

  • 0 / 5

Mkate wa lozi, ni mkate mtamu na wenye afya ambao ladha yake inafanana kama mkate wa ngano. Nakuhakikishia utaupenda mkate

READ MORE

Mkate wa mdalasini

  • 0 / 5

Mkate wa mdalasini, ni mkate mtamu wenye ladha ya vanila na mdalasini. Mkate huu wafaa sana kuliwa pamoja na siagi

READ MORE

Mkate wa ndizi

  • 0 / 5

Mkate wa ndizi, ni mkate mtamu na rahisi kuandaa ambao unaweza kuandaa bila hata kutumia mashine ya kuchanganyia (mixer). Unachohitaji

READ MORE

Mkate wa mtindi

  • 0 / 5

Mkate wa mtindi, ni mkate rahisi sana kupika ambao unapikwa kwa kutumia mahitaji machache tu. Tofauti na mikate mingine, mapishi

READ MORE

Mkate wa peasi na karoti

  • 0 / 5

Mkate wa peasi na karoti, ni mkate mtamu ambao unapikwa kwa kutumia karoti zilizokunwa (grated) pamoja na peasi. Utamu wa

READ MORE

Mkate wa karanga na ndizi

  • 0 / 5

Mkate wa karanga na ndizi, ni mkate mtamu ambao mtu yoyote anayependa karanga anaweza kuufurahia. Mkate huu hupikwa kwa kutumia

READ MORE

Mkate wa blueberry

  • 0 / 5

Mkate wa blueberry, ni mkate wa haraka na rahisi kupika. Mkate huu wa blueberry ni mkate unaopikwa kwa kutumia matunda

READ MORE

Mkate wa tangawizi

  • 0 / 5

Mkate wa tangawizi, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia viungo, kama vile tangawizi na mdalasini. Mkate huu wafaa kuliwa kama

READ MORE