Jarida la Mapishi

Mikate

Mkate wa chocolate na ndizi

  • 0 / 5

Mkate wa chocolate na ndizi, ni moja yapo ya mikate mitamu ya ndizi ambao ni rahisi sana kupika. Mkate huu

READ MORE

Mkate wa blackberry na mahindi

  • 0 / 5

Mkate wa blackberry na mahindi, ni mkate mtamu ambao wafaa kula kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi au kama kitafunio

READ MORE

Mkate wa mahindi

  • 0 / 5

Mkate wa mahindi, ni mkate mtamu na rahisi kupika ambao asili yake ni kutoka Amerika ya Kusini. Mkate huu hupikwa

READ MORE

Mkate wa limao

  • 0 / 5

Mkate wa limao, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia limao halisi lililo kamuliwa, pamoja na maganda yake yaliyokunwa, kisha kusagwa.

READ MORE

Mkate wa apple

  • 0 / 5

Mkate wa apple, ni mkate rahisi sana kupikwa ambao hupikwa kwa kutumia matunda halisi ya apple yaliyo katwa katwa, mdalasini,

READ MORE

Mkate wa strawberry

  • 0 / 5

Mkate wa Strawberry, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia matunda halisi ya strawberry. Unaweza kula mkate huu wakati wa asubuhi

READ MORE

Tosti ya kifaransa

  • 0 / 5

Tosti ya kifaransa, ni kitafunio cha kifungua kinywa kinacho tengenezwa kwa kutumia slesi za mikate, mayai, maziwa, pamoja na viungo.

READ MORE

Mkate wa karanga

  • 0 / 5

Mkate wa karanga, ni mkate mtamu unaopikwa kwa kutumia siagi ya karanga. Mkate huu wafaa kuliwa kama kifungua kinywa wakati

READ MORE

Mkate wa chocolate

  • 0 / 5

Ikiwa wewe ni mpenzi wa chocolate, basi jaribu pishi hili la mkate wa chocolate. Mkate huu wa chocolate, ni mkate

READ MORE