Jarida la Mapishi

Saladi

Saladi ya kabichi na limao

  • 0 / 5

Saladi ya kabichi na limao, ni saladi nzuri na rahisi kutengeneza. Saladi hii hutengenezwa kwa kutumia kabichi mbichi iliyo katwa

READ MORE

Saladi ya mayai

  • 0 / 5

Saladi ya mayai, ni saladi tamu inayo tengenezwa kwa kutumia mayai yaliyo chemshwa. Saladi hii yaweza kuliwa pamoja na mkate

READ MORE

Saladi ya spinachi

  • 0 / 5

Saladi ya spinachi, ni moja ya saladi tamu na maarufu sana duniani. Saladi hii hutengenezwa kwa kutumia mboga ya spinachi

READ MORE

Saladi ya karanga

  • 0 / 5

Saladi ya karanga, ni saladi ambayo hutengenezwa kwa kutumia karanga zilizo kaangwa bila mafuta, juisi ya machungwa, nyanya, limao, vitunguu

READ MORE

Saladi ya karoti na korosho

  • 0 / 5

Saladi ya karoti na korosho, ni saladi nzuri, yenye afya na rahisi sana kutengeneza, ambayo hutengenezwa kwa kutumia karoti mbichi

READ MORE

Saladi ya kabichi na kitunguu

  • 0 / 5

Saladi ya kabichi na kitunguu, ni saladi ambayo sio tu ni rahisi kutengeneza, bali pia ni tamu. Saladi hii ya

READ MORE

Saladi ya nyanya za kijani

  • 0 / 5

Saladi ya nyanya za kijani, ni saladi ambayo hutengenezwa kwa kutumia nyanya ambazo hazijaiva. Utamu wa saladi hii upo kwenye

READ MORE

Saladi ya nyanya

  • 0 / 5

Saladi ya nyanya, ni saladi nzuri na yenye afya, inayotengezwa kwa kutumia nyanya zilizoiva vizuri, na kuchanganywa pamoja na vitunguu

READ MORE

Saladi ya nyanya na tango

  • 0 / 5

Saladi ya nyanya na tango, ni saladi maarufu, nyepesi, na ya kuburudisha. Saladi hii ambayo ni rahisi sana kutengeneza, imetengenezwa

READ MORE

Saladi ya kabichi

  • 0 / 5

Saladi ya kabichi, ni saladi tamu, inayovutia na yenye afya. Saladi hii imetengenezwa kwa kutumia kabichi mbichi, karoti, vitunguu vya

READ MORE