Jarida la Mapishi

Supu

Supu ya mboga

  • 0 / 5

Supu ya mboga, ni supu tamu ambayo hupikwa kwa kutumia mchanganyiko wa mboga mbalimbali kama vile; kiazisukari chekundu, viazi mviringo,

READ MORE

Supu ya choroko na spinachi

  • 0 / 5

Supu ya choroko na spinachi, ni supu tamu iliyo sheheni virutubisho vingi vya Protini, Vitamini A, pamoja na madini ya

READ MORE

Supu ya nyanya na mboga

  • 0 / 5

Supu ya nyanya na mboga, ni supu tamu ambayo hutengengenezwa kwa kutumia, nyanya, mboga mchanganyiko, vitunguu maji, liki, pamoja na

READ MORE

Supu ya nyanya na choroko

  • 0 / 5

Supu ya nyanya na choroko, ni supu tamu ambayo yafaa kunywa katika kipindi cha baridi, hasa kutokana na choroko kuwa

READ MORE

Supu ya kuku

  • 0 / 5

Supu ya kuku, ni supu tamu yenye krimu, ambayo hupikwa kwa kuchemsha nyama ya kuku, mtindi, tui la nazi, pamoja

READ MORE

Supu ya kabichi

  • 0 / 5

Supu ya kabichi, ni supu tamu na rahisi kupika ambayo hupikwa kwa kutumia kabichi, mboga mchanganyiko, viazi, kitunguu maji, nyanya,

READ MORE

Supu ya uyoga

  • 0 / 5

Supu ya uyoga, ni supu tamu na yenye afya, ambayo hupikwa kwa kutumia uyoga mweupe au uyoga wa kahawia, mtindi,

READ MORE

Supu ya spinachi

  • 0 / 5

Supu ya spinachi, ni supu tamu, yenye virutubisho vingi na rahisi kupika, ambayo hupikwa kwa kutumia mboga ya spinachi, kitunguu

READ MORE

Supu ya njegere

  • 0 / 5

Supu ya njegere, ni supu tamu yenye rangi ya kijani, ambayo yafaa kula katika msimu wa baridi. Supu hii hupikwa

READ MORE

Supu ya viazi

  • 0 / 5

Supu ya viazi, ni supu tamu na rahisi kupika ambayo hupikwa kwa kutumia viazi mviringo, vitunguu maji, mtindi, pamoja na

READ MORE