Jarida la Mapishi

Supu

Supu ya karoti

  • 0 / 5

Supu ya karoti, ni supu nzuri iliyo sheheni ladha ya karoti, ambayo hupikwa kwa kutumia karoti, mtindi, vitunguu maji, limao,

READ MORE

Supu ya dengu

  • 0 / 5

Supu ya dengu, ni supu rahisi kupika na yenye afya, ambayo hupikwa kwa kutumia dengu, nyanya, tomato sauce, pamoja na

READ MORE

Supu ya maharage

  • 0 / 5

Supu ya maharage, ni supu tamu na rahisi kupika. Supu hii hupikwa kwa kutumia maharage mekundu, mtindi, nyanya, tomato sauce,

READ MORE

Supu ya tangawizi

  • 0 / 5

Supu ya tangawizi, ni supu tamu yenye harufu nzuri ya tangawizi. Kwa kawaida supu hii hupikwa kwa kutumia tangawizi, mbaazi,

READ MORE

Supu ya nazi

  • 0 / 5

Supu ya nazi, ni supu nzuri ambayo hupikwa kwa kutumia tui la nazi pamoja na nazi iliyokunwa. Ukiachana na nazi,

READ MORE

Supu ya choroko

  • 0 / 5

Supu ya choroko, ni supu tamu ambayo inasaidia sana katika kuboresha afya. Supu hii hupikwa kwa kitumia choroko, limao, pamoja

READ MORE

Supu ya mbaazi

  • 0 / 5

Supu ya mbaazi, ni supu tamu na rahisi kupika ambayo yawafaa hasa wale ambao hawapendi kula supu zenye nyama. Supu

READ MORE

Supu ya maboga

  • 0 / 5

Supu ya maboga, nu supu tamu na rahisi kupika. Supu hii hupikwa kwa kutumia maboga, ambayo huchemshwa pamoja na viazi

READ MORE

Supu ya kamba

  • 0 / 5

Supu ya kamba, ni supu tamu sana yenye nyanya, inayopikwa kwa kutumia kamba wabichi, tui la nazi pamoja na limao.

READ MORE

Supu ya samaki

  • 0 / 5

Supu ya samaki, ni supu rahisi kupika kwa sababu supu hii, inapikwa kwa kutumia mahitaji ambayo ni rahisi kupatikana mahali

READ MORE