Jarida la Mapishi

Vinywaji

Smoothie ya blackberry na raspberry

  • 0 / 5

Smoothie ya blackberry na raspberry, ni smoothie nzuri iliyo sheheni virutubisho vya Vitamini C, E na K, ambayo hutengenezwa kwa

READ MORE

Smoothie ya nanasi na embe

  • 0 / 5

Smoothie ya nanasi na embe, ni kinywaji cha kuburudisha ambacho hutengenezwa kwa kutumia nanasi, embe, mtindi wa vanilla, ndizi, pamoja

READ MORE

Smoothie ya chungwa

  • 0 / 5

Smoothie ya chungwa, ni smoothie rahisi kutengeneza, ambayo imesheheni virutubisho vingi kama vile, Vitamini B, Vitamini C, Potasiamu na Kalsiamu.

READ MORE

Smoothie ya chocolate na strawberry

  • 0 / 5

Smoothie ya chocolate na strawberry, ni smoothie tamu ambayo hutengenezwa kwa kutumia matunda ya strawberry, ndizi, mtindi, pamoja na chocolate

READ MORE

Smoothie ya tikiti na strawberry

  • 0 / 5

Smoothie ya tikiti na strawberry, ni smoothie nzuri na ya kuburudisha ambayo inasaidia sana kupunguza joto mwilini hasa katika kipindi

READ MORE

Smoothie ya ndizi na embe

  • 0 / 5

Smoothie ya ndizi na embe, ni kinywaji kizuri, rahisi kutengeneza na chenye afya, ambacho hupendwa zaidi na watoto. Smoothie hii

READ MORE

Smoothie ya nanasi na strawberry

  • 0 / 5

Smoothie ya nanasi na strawberry, ni kinywaji kizuri cha kuburudisha ambacho hutengenezwa kwa kutumia juisi ya nanasi, matunda ya strawberry,

READ MORE

Smoothie ya strawberry na karanga

  • 0 / 5

Smoothie ya strawberry na karanga, ni kinywaji kizuri na cha kuburudisha kilicho sheheni virutubisho vya Vitamini pamoja na Protini kwa

READ MORE

Smoothie ya strawberry na kiwi

  • 0 / 5

Smoothie ya strawberry na kiwi, ni smoothie yenye afya na rahisi sana kutengeneza, ambayo unaweza kuitengeneza katika muda mfupi sana

READ MORE

Smoothie ya blueberry na karanga

  • 0 / 5

Smoothie ya blueberry na karanga, ni kinywaji kizuri kilicho sheheni Virutubisho vya Vitamini, Manganizi pamoja na Protini kwa wingi, ambacho

READ MORE