Smoothie ya pichi na embe
Smoothie ya pichi na embe, ni smoothie tamu, nzito na yenye virutubisho vingi vya Vitamini, Madini ya chuma, Potasiamu, Magneziamu,
READ MORESmoothie ya kahawa
Smoothie ya kahawa, ni smoothie ambayo hutengezwa kwa kutumia chembechembe halisi za kahawa. Ikiwa wewe ni mpenzi wa kahawa, basi
READ MORESmoothie ya parachichi na nazi
Smoothie ya parachichi na nazi, ni smoothie rahisi kutengeneza, iliyo sheheni virutubisho vya mono unsaturated fatty acids, ambavyo husaidia kuimarisha
READ MORELemonade ya karoti
Lemonade ya karoti, ni kinywaji kizuri, cha kuburudisha na chenye afya, ambacho hutengenezwa kwa kusaga pamoja karoti, malimao na matunda
READ MORELemonade ya nanasi
Lemonade ya nanasi, ni kinywaji kizuri chenye utamu wa kipekee. Utamu huu unatokana na tunda la nanasi ambalo huifanya lemonade
READ MOREChai ya kijani
Chai ya kijani, ni chai ang'avu na yenye ladha nyepesi. Chai hii ya kijani ni moja ya chai nzuri sana
READ MORELemonade ya kiazisukari
Lemonade ya kiazisukari, ni kinywaji kizuri na chenye afya, ambacho hutengenezwa kwa kutumia kiazisukari chekundu, malimao, matunda ya apple na
READ MORELemonade ya cherry
Lemonade ya cherry, ni kinywaji kizuri na cha kuburudisha, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya cherry, apple pamoja na
READ MORELemonade ya pichi
Lemonade ya pichi, ni kinywaji kizuri, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha, ambacho hutengenezwa kwa kutumia pichi, malimao, apple na maji.
READ MORELemonade ya balungi
Lemonade ya balungi, ni kinywaji kizuri na rahisi kutengeneza, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda ya balungi, limao, apple, pamoja na
READ MORE