Chai ya lozi
Chai ya lozi, ni chai nzuri na ya kuburudisha ambayo yafayaa sawa kunywewa katika kipindi cha kiangazi (msimu wa joto).
READ MOREChai ya shamari na iliki
Chai ya shamari na iliki, ni chai nzuri sana ambayo inasaidia mtu ambaye amevimbiwa na tumbo la chakula. Fuata hatua
READ MOREChai ya iliki
Chai ya iliki, ni kinywaji maarufu sana hasa katika nchi za India na Tanzania. Chai hii hupikwa kwa kutumia majani
READ MOREChai ya minti
Chai ya minti, ni chai ya mitishamba inayotengenezwa kwa kutumia maji, maziwa, tangawizi, pamoja na majani ya minti. Ili kupata
READ MORELemonade ya tikiti
Lemonade ya tikiti, ni kinywaji kitamu, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha, ambacho hutengenezwa kwa kusaga pamoja tikiti, limao, apple pamoja
READ MORELemonade ya tangawizi
Lemonade ya tangawizi, ni kinywaji kizuri ambacho hutengenezwa kwa kutumia kiungo cha tangawizi, matunda ya apple, malimao, pamoja na maji.
READ MORELemonade ya rosemary
Lemonade ya rosemary, ni kinywaji ambacho kitashangaza watu wengi wanao ufahamu mmea wa rosemary. Najua hapo ulipo unawaza kichwani mwako,
READ MORELemonade ya tikiti na strawberry
Lemonade ya tikiti na strawberry, chenye rangi nzuri ya pinki na ladha nzuri ya kupendeza, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda
READ MORELemonade ya raspberry
Lemonade ya raspberry, ni kinywaji chenye ladha tamu na rangi nzuri ya pinki, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda ya raspberry,
READ MORELemonade ya strawberry
Lemonade ya strawberry, ni kinywaji rahisi kutengeneza, cha kuburudisha na chenye rangi nzuri ya pinki. Kinywaji hiki hutengenezwa kwa kusaga
READ MORE