Jarida la Mapishi

Vinywaji

Milkshake ya chocolate na karanga

  • 0 / 5

Milkshake ya chocolate na karanga, ni milkshake nzuri yenye karanga na krimu. Ikiwa wewe ni mpenzi wa karanga, basi nakuhakikishia

READ MORE

Smoothie ya chocolate na ndizi

  • 0 / 5

Smoothie ya chocolate na ndizi, ni smoothie tamu yenye ladha inayofanana na milkshake ya chocolate. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia

READ MORE

Milkshake ya strawberry

  • 0 / 5

Milkshake ya strawberry ni kinywaji kizuri kinacho tengenezwa kwa kuchanganya pamoja matunda ya strawberry, maziwa, vanilla pamoja na asali. Fuata

READ MORE

Smoothie ya strawberry na ndizi

  • 0 / 5

Smoothie ya strawberry na ndizi, ni smoothie nzuri kwa afya, yenye kuburudisha na yenye virtubisho ambavyo vitakusaidia kukuongeza nguvu unayohitaji

READ MORE

Juisi ya strawberry na embe

  • 0 / 5

Juisi ya strawberry na embe, ni juisi nzuri inayofaa kunywa hasa wakati wa sherehe. Tengeneza juisi hii leo, na ufurahie

READ MORE

Smoothie ya chungwa, embe na ndizi

  • 0 / 5

Smoothie ya chungwa, embe na ndizi, ni kinywaji kizuri chenye Vitamini C kwa wingi, ambacho kinawafaa hasa wale ambao huwa

READ MORE

Juisi ya nanasi na chungwa

  • 0 / 5

Juisi ya nanasi na chungwa, ni juisi tamu ambayo yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Utamu wa juisi

READ MORE

Smoothie ya ndizi na karanga

  • 0 / 5

Smoothie ya ndizi na karanga, ni moja wapo ya smoothie rahisi sana kutengeneza, ambayo imesheheni virutubisho vingi vya Potasiamu, Vitamini

READ MORE

Juisi ya chungwa

  • 0 / 5

Juisi ya chungwa, ni juisi yenye mchanganyiko wa ladha ya utamu, uchachu na uchungu. Juisi hii pia imesheheni virutubisho vingi

READ MORE

Smoothie ya ndizi

  • 0 / 5

Smoothie ya ndizi, ni smoothie ambayo hutengeneza kwa kutumia ndizi mbivu ambazo huapatikana mahali popote katika kipindi chote cha mwaka.

READ MORE