Jarida la Mapishi

Vitafunio

Bisi za chumvi

  • 0 / 5

Bisi za chumvi, kama jina lake lilivyo, ni bisi zinazopikwa kwa kutumia mafuta pamoja na chumvi. Bisi hizi ni rahisi

READ MORE

Bisi za nanasi na pilipili

  • 0 / 5

Bisi za nanasi na pilipili, ni bisi zenye ladha ya nanasi na pilipili zinazopikwa kwa kutumia tunda halisi la nanasi.

READ MORE

Bisi za pilipili

  • 0 / 5

Bisi za pilipili, ni bisi tamu ambazo hupikwa kwa kutumia pilipili ya unga pamoja na viungo vingine. Bisi hizi zafaa

READ MORE

Biskuti za pistachio na machungwa

  • 0 / 5

Biskuti za pistachio na machungwa, ni biskuti zinazopikwa kwa kutumia machungwa yaliyo kamuliwa, maganda ya machungwa yaliyokunwa, pamoja na pistachio

READ MORE

Biskuti za mdalasini na karanga

  • 0 / 5

Biskuti za mdalasini na karanga, ni biskuti ambazo ni rahisi sana kupika ambazo zilizo sheheni ladha ya karanga na mdalasini.

READ MORE

Biskuti za lozi na blueberry

  • 0 / 5

Biskuti za lozi na blueberry, ni biskuti rahisi kutengeneza ambazo zafaa sana kuliwa katika majira ya joto. Biskuti hizi hupikwa

READ MORE

Biskuti za blueberry

  • 0 / 5

Biskuti za blueberry, ni biskuti rahisi sana kupika ambazo hupikwa kwa kutumia matunda halisi ya blueberry, maziwa, maganda ya limao,

READ MORE

Biskuti za kahawa na chocolate

  • 0 / 5

Biskuti za kahawa na chocolate, ni biskuti rahisi sana kupika ambazo hupikwa kwa kutumia unga halisi wa kahawa pamoja na

READ MORE

Biskuti za ndizi na chocolate

  • 0 / 5

Biskuti za ndizi na chocolate, ni biskuti tamu zenye ladha kama ya mkate wa ndizi. Biskuti hizi ni rahisi sana

READ MORE

Biskuti za karanga na shayiri

  • 0 / 5

Biskuti za karanga na shayiri, ni buskuti tamu zilizo sheheni radha nzuri ya karanga na protini kwa wingi. Wapenzi wa

READ MORE