Biskuti za maembe
Biskuti za maembe, ni biskuti rahisi sana kupika zenye ladha nzuri ya maembe na rangi ya njano. Biskuti hizi zaweza
READ MOREBiskuti za apple
Biskuti za apple, ni biskuti tamu ambazo zafaa kuliwa hasa katika msimu wa vuli. Biskuti hizi hupikwa kwa kutumia matunda
READ MOREBiskuti za pilipili na chocolate
Biskuti za pilipili na chocolate, ni biskuti zenye ladha kali ya pilipili. Biskuti hizi hupikwa kwa kukutumia unga wa ngano,
READ MOREBiskuti za karanga
Biskuti za karanga, ni biskuti tamu ambazo zinaweza kuliwa muda wowote kama kitafunio cha kawaida. Biskuti hizi hupikwa kwa kutumia
READ MOREBiskuti za shayiri na ndizi
Biskuti za shayiri na ndizi, ni biskuti tamu na zenye afya ambazo hupikwa kwa kutumia ndizi mbivu zilizo katwa katwa,
READ MOREBiskuti za minti na chocolate
Biskuti za minti na chocolate, ni biskuti zenye ladha na harufu nzuri ya mchanganyiko wa minti na chocolate. Ladha na
READ MOREBiskuti za lozi
Biskuti za lozi, ni biskuti laini, tamu, na rahisi sana kupika. Biskuti hizi hupikwa kwa kutumia unga wa lozi, almond
READ MOREBiskuti za karanga na chocolate
Biskuti za karanga na chocolate, ni biskuti tamu na laini zilizo sheheni ladha ya karanga na chocolate. Biskuti hizi ni
READ MOREBiskuti za iliki na chocolate
Biskuti za iliki na chocolate, ni biskuti rahisi sana kupika ambazo hupikwa kwa kutumia unga wa ngano, maziwa, iliki, pamoja
READ MOREMayai ya kuvuruga yenye vitunguu
Mayai ya kuvuruga yenye vitunguu, ni chakula kizuri ambacho chafaa kuliwa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi, wakati wa chakula
READ MORE