Jarida la Mapishi

Vitafunio

Sambusa za choroko

  • 0 / 5

Sambusa za choroko, ni sambusa tamu ambazo hutengezwa kwa kutumia choroko zilizo changanywa pamoja na viungo, kisha kukaangwa. Fuata hatua

READ MORE

Biskuti za nazi

  • 0 / 5

Biskuti za nazi, ni biskuti tamu, ambazo zinapikwa kwa kutumia unga wa ngano, nazi, siagi pamoja na sukari. Buskuti hizi

READ MORE

Biskuti za mchele

  • 0 / 5

Biskuti za mchele, ni biskuti maarufu na zinazopendwa sana katika nchi ya Iran. Watu wa Taifa hili hupenda kula biskuti

READ MORE

Kachori

  • 0 / 5

Kachori, ni kitafunio kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia mchanganyiko viazi mviringo vilivyo chemshwa, tomato sauce, white vinegar, pamoja na viungo

READ MORE

Biskuti za vanilla

  • 0 / 5

Biskuti za vanilla, ni biskuti zenye ladha tamu ya vanilla ambayo wakati mwingine ladha hii huonekana kama ladha ya kawaida

READ MORE

Biskuti za chocolate

  • 0 / 5

Biskuti za chocolate, ni biskuti ambazo ni rahisi sana kupika. Biskuti hizi zinapikwa kwa kutumia nutella, unga wa cocoa, pamoja

READ MORE

Biskuti za kahawa

  • 0 / 5

Biskuti za kahawa, ni biskuti rahisi kupika ambazo zinaweza kufurahiwa na mtu yoyote, hasa wapenzi wa kahawa. Biskuti hizi zinapikwa

READ MORE

Sambusa za njegere

  • 0 / 5

Sambusa za njegere, ni sambusa tamu ambazo zinawafaa hasa wale ambao hawapendi kula sambusa zenye nyama. Sambusa hizi hupikwa kwa

READ MORE

Sambusa za viazi

  • 0 / 5

Sambusa za viazi, ni kitafunio maarufu ambacho hupikwa kwa kuchanganya viazi mviringo pamoja viungo, na kisha kukaangwa kwenye mafuta. Fuata

READ MORE

Biskuti za tangawizi

  • 0 / 5

Biskuti za tangawizi, ni mojawapo ya biskuti zinazopendwa zaidi nchini Uingereza, na zimekuwa zikiliwa nchini humo kwa karne nyingi. Biskuti

READ MORE