Jarida la Mapishi

Vitindamlo

Muffins za machungwa

  • 0 / 5

Muffins za machungwa, ni muffins tamu zilizo sheheni ladha na harufu nzuri ya machungwa. Muffins hizi, hupikwa kwa kutumia machungwa

READ MORE

Ice cream ya ndizi

  • 0 / 5

Ice cream ya ndizi, ni ice cream tamu na yenye krimu, inayo tengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu. Ice cream hii

READ MORE

Keki ya zucchini

  • 0 / 5

Keki ya zucchini, ni keki inayopikwa kwa kutumia zucchini lililo kunwa, pamoja na viungo. Keki hii yafaa kula kama kifungua

READ MORE

Ice cream ya nanasi

  • 0 / 5

Ice cream ya nanasi, ni ice cream inayo tengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya nanasi, powdered sugar na krimu. Ice

READ MORE

Keki ya pistachio

  • 0 / 5

Keki ya pistachio, ni keki inayopikwa kwa kutumia njugu halisi za pistachio zilizo sagwa. Keki hii yafaa sana kuliwa kama

READ MORE

Muffins za limao na mpopi

  • 0 / 5

Muffins za limao na mpopi, ni muffins tamu zilizo sheheni ladha ya limao, ambazo hupikwa kwa kutumia limao lililo kamuliwa,

READ MORE

Keki ya buttermilk na chocolate

  • 0 / 5

Keki ya buttermilk na chocolate, ni keki tamu yenye harufu nzuri ya kuvutia. Keki hii hupikwa kwa kutumia maziwa ya

READ MORE

Keki ya nazi na chocolate

  • 0 / 5

Keki ya nazi na chocolate, ni keki tamu iliyo sheheni ladha ya nazi pamoja na chocolate. Keki hii yafaa kuliwa

READ MORE

Keki ya cherry

  • 0 / 5

Keki ya cherry, ni keki tamu yenye ladha nzuri ya cherry, inayopikwa kwa kutumia matumda halisi ya cherry. Keki hii

READ MORE

Keki ya peasi

  • 0 / 5

Keki ya peasi, ni keki rahisi kupika na yenye ladha ya kipekee. Keki hii hupikwa kwa kutumia matunda ya peasi

READ MORE