Jarida la Mapishi

Vitindamlo

Cupcakes za blueberry na limao

  • 0 / 5

Cupcakes za blueberry na limao, ni cupcakes zilizo sheheni ladha ya matunda halisi ya blueberry na limao. Cupcakes hizi zafaa

READ MORE

Muffins za machungwa na mpopi

  • 0 / 5

Muffins za machungwa na mpopi, ni muffins tamu zilizo sheheni ladha ya machungwa. Muffins hizi ni rahisi sana kupika na

READ MORE

Cupcakes za balungi

  • 0 / 5

Cupcakes za balungi, ni cupcakes tamu zinazopikwa kwa kutumia matunda halisi ya balungi pamoja na maganda yake yaliyokunwa. Cupcakes hizi

READ MORE

Muffins za pekani

  • 0 / 5

Muffins za pekani, ni muffins tamu ambazo hupikwa kwa kutumia njugu halisi za pekani zilizo katwa katwa. Muffins hizi zafaa

READ MORE

Muffins za kahawa

  • 0 / 5

Muffins za kahawa, ni muffins tamu zenye ladha nzuri ya kahawa ambazo ni rahisi sana kupika. Muffins hizi zafaa kula

READ MORE

Keki ya raspberry na chocolate

  • 0 / 5

Keki ya raspberry na chocolate, ni keki tamu inayopikwa kwa kutumia matunda halisi ya raspberry pamoja na chocolate. Keki hii

READ MORE

Muffins za karoti

  • 0 / 5

Muffins za karoti, ni muffins zinazopikwa kwa kutumia karoti, zenye ladha kama keki ya karoti. Muffins hizi zaweza kuliwa kama

READ MORE

Ice cream ya lavender

  • 0 / 5

Ice cream ya lavender, ni ice cream yenye harufu nzuri ya lavender inayo tengenezwa kwa kutumia maua halisi ya lavender.

READ MORE

Cupcakes za kahawa

  • 0 / 5

Cupcakes za kahawa, ni cupcakes rahisi sana kupika ambazo zimesheheni ladha ya kahawa. Cupcakes hizi zafaa kula kama kifungua kinywa

READ MORE

Ice cream ya mtindi

  • 0 / 5

Ice cream ya mtindi, ni ice cream tamu inayo tengenezwa kwa kutumia mtindi pamoja na krimu. Ice cream hii yaweza

READ MORE