Jarida la Mapishi

Viungo na Sosi

Sosi ya nyanya na siagi

  • 0 / 5

Sosi ya nyanya na siagi, ni sosi tamu na rahisi kupika, ambayo hupikwa kwa kutumia nyanya, siagi, heavy cream, pamoja

READ MORE

Sosi ya minti

  • 0 / 5

Sosi ya minti, ni sosi yenye ladha nzuri, ambayo hupikwa kwa kutumia majani ya minti, vitunguu maji, mtindi, limao, vitunguu

READ MORE

Sosi ya viungo

  • 0 / 5

Sosi ya viungo, ni sosi yenye rangi ya machungwa na ladha nzuri ya kuvutia, ambayo hupikwa kwa kutumia, vitunguu maji,

READ MORE

Sosi ya uyoga na lozi

  • 0 / 5

Sosi ya uyoga na lozi, ni sosi tamu ambayo hupikwa kwa kutumia uyoga, vitunguu maji, mtindi, lozi mbichi, pamoja na

READ MORE

Kaukau za vitunguu maji

  • 0 / 5

Kaukau za vitunguu maji, ni viungo ambavyo hutengenezwa kwa kukaanga vitunguu maji vilivyo katwa katwa kwenye mafuta. Kaukau hizi hutumika

READ MORE

Kaukau za tangawizi

  • 0 / 5

Kaukau za tangawizi, ni viungo ambavyo hutengezwa kwa kwa kukaanga vipande vya tangawizi kwenye mafuta. Kaukau hizi hutumika kwenye chakula

READ MORE