Jarida la Mapishi

Viungo na Sosi

Achari ya karanga na vitunguu swaumu

  • 0 / 5

Achari ya karanga na vitunguu swaumu, ni achari ambayo hutengenezwa kwa kutumia karanga pamoja na viungo vya aina mbalimbali kama

READ MORE

Achari ya giligilani

  • 0 / 5

Achari ya giligilani, ni achari nzuri na rahisi kutengeneza, ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani ya giligilani, choroko, ukwaju, pamoja na

READ MORE

Achari ya minti na vitunguu swaumu

  • 0 / 5

Achari ya minti na vitunguu swaumu, ni achari ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani mabichi ya minti, vitunguu swaumu, pamoja na

READ MORE

Achari ya vitunguu vya kijani na tangawizi

  • 0 / 5

Achari ya vitunguu vya kijani na tangawizi, ni achari inayo tengenezwa kwa kusaga mchanganyiko wa vitunguu vya kijani, tangawizi, limao,

READ MORE

Achari ya minti

  • 0 / 5

Achari ya minti, ni achari yenye ladha nzuri ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani ya minti, majani ya giligilani, kitunguu maji,

READ MORE

Sosi ya nyanya na ukwaju

  • 0 / 5

Sosi ya nyanya na ukwaju, ni sosi yenye mchanganyiko wa ladha ya utamu na uchachu, ambayo inatokana na nyanya, ukwaju,

READ MORE

Achari ya giligilani na limao

  • 0 / 5

Achari ya giligilani na limao, ni achari tamu ambayo hutengenezwa na kutumia majani ya giligilani, majani ya minti, pilipili hoho,

READ MORE