Jarida la Mapishi

Viungo na Sosi

Achari ya minti na vitunguu swaumu

  • 0 / 5

Achari ya minti na vitunguu swaumu, ni achari ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani mabichi ya minti, karanga, ukwaju, pamoja na

READ MORE

Achari ya vitunguu vya kijani na tangawizi

  • 0 / 5

Achari ya vitunguu vya kijani na tangawizi, ni achari inayo tengenezwa kwa kusaga mchanganyiko wa vitunguu vya kijani, tangawizi, limao,

READ MORE

Achari ya minti

  • 0 / 5

Achari ya minti, ni achari yenye ladha nzuri ambayo hutengenezwa kwa kutumia majani ya minti, majani ya giligilani, kitunguu maji,

READ MORE

Sosi ya nyanya na ukwaju

  • 0 / 5

Sosi ya nyanya na ukwaju, ni sosi yenye mchanganyiko wa ladha ya utamu na uchachu, ambayo inatokana na nyanya, ukwaju,

READ MORE

Achari ya giligilani na limao

  • 0 / 5

Achari ya giligilani na limao, ni achari tamu ambayo hutengenezwa na kutumia majani ya giligilani, majani ya minti, pilipili hoho,

READ MORE

Achari ya kijani

  • 0 / 5

Achari ya kijani, ni achari ambayo hutengenezwa kwa kutumia mimea yenye rangi ya kijani kama vile, majani ya minti, majani

READ MORE

Achari ya maembe mabichi

  • 0 / 5

Achari ya maembe mabichi, ni achari ya ambayo hutengenezwa kwa kutumia maembe mabichi, chumvi, sukari, vitunguu vya kijani, pamoja na

READ MORE

Viungo vya chai

  • 0 / 5

Viungo vya chai, ni mchanganyiko wa viungo vya aina mbalimbali, ambavyo hutumika kuongeza ladha kwenye chai na kuifanya chai hiyo

READ MORE

Viungo vya nyama

  • 0 / 5

Viungo vya nyama, ni mchanganyiko wa viungo, ambavyo hutumika kwenye mapishi ya aina mbalimbali ya nyama, kama vile nyama ya

READ MORE

Chaat masala

  • 0 / 5

Chaat masala, ni mchanganyiko wa viungo ambao hutengenezwa kwa kutumia mango powder kama kikuu pamoja na viungo vingine. Chaat Masala

READ MORE