Jarida la Mapishi

Vyakula

Wali wa binzari ya manjano

  • 0 / 5

Wali wa binzari ya manjano (Wali wa manjano), ni chakula rahisi kupika, ambacho hupikwa kwa kutumia mchele pamoja na viungo

READ MORE

Samaki wa kukaanga

  • 0 / 5

Samaki wa kukaanga, ni kitoweo kitamu na rahisi kupika, ambacho hupikwa kwa kuchanganya samaki, limao, ukwaju, pamoja na viungo vya

READ MORE

Wali mweupe

  • 0 / 5

Wali mweupe, ni chakula maarufu na kinacholiwa zaidi kuliko chakula cha aina yoyote duniani, ambacho hupikwa kwa kutumia, mchele, maji,

READ MORE

Samaki wa kuchoma

  • 0 / 5

Samaki wa kuchoma, ni kitoweo kitamu na chenye ladha ya kipekee ambacho huchomwa kwa kuchanganywa na nazi, limao, pamoja na

READ MORE

Mchuzi wa mayai

  • 0 / 5

Mchuzi wa mayai, ni chakula kitamu ambacho unaweza kukipika kwa muda mfupi wa ndani ya dakika 30 tu. Chakula hiki

READ MORE

Kuku wa ukwaju

  • 0 / 5

Kuku wa ukwaju, ni kitoweo kitamu na rahisi kupika chenye ladha ya mchanganyiko wa utamu na uchachu, ambacho hupikwa kwa

READ MORE

Pilau ya tangawizi na minti

  • 0 / 5

Pilau ya tangawizi na minti, ni chakula chenye ladha ya kipekee ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, kitunguu maji, kiazi mviringo,

READ MORE

Pilau ya spinachi

  • 0 / 5

Pilau ya spinachi, ni chakula kizuri na chenye afya ambacho hupikwa kwa kutumia pilau ya binzari nyembamba, pilipili hoho, spinachi,

READ MORE

Biriani ya nyama

  • 0 / 5

Biriani ya nyama, ni chakula kitamu ambacho chafaa kuliwa hasa wakati wa sherehe. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia mchele, mtindi,

READ MORE

Biriani ya mboga

  • 0 / 5

Biriani ya mboga, ni chakula kitamu na chenye harufu nzuri ambacho hupikwa kwa kutumia wali mweupe uliopikwa, maziwa, mboga mchanganyiko,

READ MORE