Jarida la Mapishi

Vyakula

Kuku wa ukwaju

  • 0 / 5

Kuku wa ukwaju, ni kitoweo kitamu na rahisi kupika chenye ladha ya mchanganyiko wa utamu na uchachu, ambacho hupikwa kwa

READ MORE

Pilau ya tangawizi na minti

  • 0 / 5

Pilau ya tangawizi na minti, ni chakula chenye ladha ya kipekee ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, kitunguu maji, kiazi mviringo,

READ MORE

Pilau ya spinachi

  • 0 / 5

Pilau ya spinachi, ni chakula kizuri na chenye afya ambacho hupikwa kwa kutumia pilau ya binzari nyembamba, pilipili hoho, spinachi,

READ MORE

Biriani ya nyama

  • 0 / 5

Biriani ya nyama, ni chakula kitamu ambacho chafaa kuliwa hasa wakati wa sherehe. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia mchele, mtindi,

READ MORE

Biriani ya mboga

  • 0 / 5

Biriani ya mboga, ni chakula kitamu na chenye harufu nzuri ambacho hupikwa kwa kutumia wali mweupe uliopikwa, maziwa, mboga mchanganyiko,

READ MORE

Biriani ya mbavu

  • 0 / 5

Biriani ya mbavu, ni chakula kitamu ambacho chafaa kuliwa hasa wakati wa sherehe. Biriani hii hupikwa kwa kutumia, pilau ya

READ MORE

Biriani ya biringanya

  • 0 / 5

Biriani ya biringanya, ni chakula kitamu ambacho chafaa kupika hasa katika kipindi cha kiangazi. Chakula hiki hupikwa kwa kutumia mchele,

READ MORE

Pilau ya maharage ya soya

  • 0 / 5

Pilau ya maharage ya soya, ni chakula kizuri ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, pilipili hoho, nyanya, maharage ya soya yaliyo

READ MORE

Pilau ya dengu

  • 0 / 5

Pilau ya dengu, ni chakula kizuri ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, vitungu maji, dengu zilizo chemshwa, pamoja na viungo vya

READ MORE

Pilau ya mahindi na njegere

  • 0 / 5

Pilau ya mahindi na njegere, ni chakula kizuri na chenye afya ambacho hupikwa kwa kutumia mchele, mahindi mabichi, njegere pamoja

READ MORE