Jarida la Mapishi

Vyakula

Pilau ya mboga

  • 0 / 5

Pilau ya mboga, ni pilau ambayo hupikwa kwa kutumia mchele, mchanganyiko wa mboga mbali mbali, pamoja na viungo kama vile,

READ MORE

Wali wa limao

  • 0 / 5

Wali wa limao, ni wali rahisi sana kuupika ambao unaweza kuupika kwa haraka. Chakula hiki, hupikwa kwa kutumia wali uliokwisha

READ MORE

Wali wa ufuta

  • 0 / 5

Wali wa ufuta, ni wali wenye ladha nzuri na rahisi kupika, ulio sheheni madini mengi ya chuma. Wali huu wafaa

READ MORE

Wali wa karanga

  • 0 / 5

Wali wa karanga, ni wali mtamu na wenye harufu nzuri ambao hupikwa kwa kutumia mchele, karanga zilizo kaangwa, pamoja na

READ MORE

Wali wa biringanya

  • 0 / 5

Wali wa biringanya, ni chakula kitamu ambacho hupikwa kwa kutumia wali mweupe ambao huchanganywa pamoja na biringanya na viungo. Fuata

READ MORE

Wali wa mtindi

  • 0 / 5

Wali wa mtindi, ni chakula kikuu na maarufu sana ambacho hupikwa kwa kutumia wali uliochanganywa pamoja na mtindi na viungo.

READ MORE

Mishikaki ya mbuzi

  • 0 / 5

Mishikaki ya mbuzi, ni mishikaki mitamu yenye ladha ya kupendeza na nyepesi kuliko ya kondoo. Nyama hii ni laini sana

READ MORE

Mishikaki ya nyama ya ng’ombe

  • 0 / 5

Mishikaki ya nyama ya ng'ombe, ni mishikaki mitamu inayopikwa kwa kutumia nyama ya ng'ombe iliyokatwa vipande vipande vipande na kuchanganywa

READ MORE

Mishikaki ya kuku wa kusaga

  • 0 / 5

Mishikaki ya kuku wa kusaga, ni mishikaki mitamu na rahisi kupika. Mishikaki hii huandaliwa kwa kuchanganya nyama ya kuku wa

READ MORE

Mishikaki ya maini ya kuku

  • 0 / 5

Mishikaki ya maini ya kuku, ni moja ya vyakula maarufu vya mtaani katika nchi za India na Morocco. Mishikaki hii

READ MORE