-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya karoti, ni kinywaji kizuri, cha kuburudisha na chenye afya, ambacho hutengenezwa kwa kusaga pamoja karoti, malimao na matunda ya apple. Lemonade hii yafaa sana kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya karoti.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, malimao, matunda ya apple, karoti, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Step3
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Recipe Reviews