-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya minti, ni kinywaji kitamu, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha, kilicho sheheni mchanganyiko wa ladha ya uchachu pamoja ladha ya ubaridi wa minti. Kinywaji hiki chafaa sana kunywa katika kipindi cha joto au katika msimu wa kiangazi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya minti.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya apple, malimao, majani ya minti, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review