-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya raspberry, ni kinywaji chenye ladha tamu na rangi nzuri ya pinki, ambacho hutengenezwa kwa kutumia matunda ya raspberry, malimao, apple, pamoja na maji. Kama hujawahi kunywa lemonade hii, basi nakuhakikishia, kinywaji hiki kitakuwa moja ya vinywaji vyako uvipendavyo. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya raspberry.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, malimao, matunda ya apple, matunda ya raspberry, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review