-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya strawberry na mrehani, ni kinywaji kitamu, rahisi kutengeneza na cha kuburudisha, ambacho hutengenezwa kwa kusaga pamoja matunda ya strawberry, malimao na majani ya mrehani. Kinywaji hiki chafaa sana kunywa katika kipindi cha joto. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya strawberry na mrehani.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, limao, apple, matunda ya strawberry, majani ya mrehani, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review