-
Maandalizi-
-
Kupika-
-
Walaji2
Lemonade ya tangawizi, ni kinywaji kizuri ambacho hutengenezwa kwa kutumia kiungo cha tangawizi, matunda ya apple, malimao, pamoja na maji. Kinywaji hiki, husaidia ini lako liweze kufanya kazi yake ipasavyo katika uondoaji wa sumu mwilini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza lemonade hii ya tangawizi.
Ingredients
Directions
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, malimao, matunda ya apple, tangawizi, maji, pamoja na sukari, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Chukua chujio, kisha chuja lemonade hiyo vizuri.
Mimina lemonade kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Conclusion
Unaweza kuongeza maji zaidi, endapo utaona maji yaliyomo katika lemonade hii ni kidogo.
Leave a Review