-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji1
Smoothie ya chocolate na blueberry, ni smoothie tamu na rahisi kutengeneza, ambayo imesheheni ladha halisi ya mchanganyiko wa matunda ya blueberry pamoja na chocolate. Smoothie hii yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Pia waweza kunywa smoothie hii wakati wowote pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chocolate na blueberry.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, matunda ya blueberry, maziwa, chocolate syrup, pamoja na cocoa powder, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review