-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji1
Smoothie ya chocolate na ndizi, ni smoothie tamu yenye ladha inayofanana na milkshake ya chocolate. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia chocolate, ndizi, pamoja na maziwa. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chocolate na ndizi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, ndizi, pamoja na chocolate syrup, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review