-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya chocolate na strawberry, ni smoothie tamu ambayo hutengenezwa kwa kutumia matunda ya strawberry, ndizi, mtindi, pamoja na chocolate syrup. Fuata hatua zifuatazo, ili ukifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chocolate na strawberry.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, matunda ya strawberry, ndizi, pamoja na chocolate syrup, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review