-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya chungwa, ni smoothie rahisi kutengeneza, ambayo imesheheni virutubisho vingi kama vile, Vitamini B, Vitamini C, Potasiamu na Kalsiamu. Smoothie hii hutengenezwa kwa kutumia matunda halisi ya machungwa na ndizi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya chungwa.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa vanilla, maziwa, sukari, machungwa, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review