-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya embe, ni kinywaji ambacho husaidia kuongeza nguvu mwilini papo hapo. Unywaji wa smoothie hii unakusaidia kupata virutubisho vya aina mbali mbali, ikiwemo Vitamini, Potasiamu na Protini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya embe.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maembe, maziwa, mtindi wa vanilla, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review