-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji4
Smoothie ya ndizi na karanga, ni moja wapo ya smoothie rahisi sana kutengeneza, ambayo imesheheni virutubisho vingi vya Potasiamu, Vitamini B6, Vitamini C na Protini. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ys kutengeneza smoothie hii ya ndizi na karanga.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, maziwa, siagi ya karanga, ndizi, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review