-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji4
Smoothie ya parachichi, ni smoothie rahisi kutengeneza, nzito, laini na iliyo sheheni Protini kwa wingi, ambayo yafaa kunywa kama kifungua kinywa wakati wa asubuhi. Waweza kunywa smoothie hii wakati wowote kama kiburudisho pamoja na kitafunio chochote ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya parachichi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, parachichi, maziwa, mtindi wa vanilla, pamoja na asali, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review