-
MaandaliziDakika 10
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya pichi na embe, ni smoothie tamu, nzito na yenye virutubisho vingi vya Vitamini, Madini ya chuma, Potasiamu, Magneziamu, Zinki na Shaba. Smoothie hii yafaa sana kunywa kama kifungua wakati wa asubuhi, au pamoja na kitafunio chochote kile ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya pichi na embe.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, embe, pichi, vanilla soy milk, pamoja na juisi ya chungwa, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review