-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya strawberry, ni kinywaji kitamu na rahisi kutengeneza, ambacho kimesheheni virutubisho vingi vya Potasiamu, Vitamini C, Kalsiamu na Protini. Jaribu kunywa smoothie hii badala ya milkshake, na nakuhakikishia, hutajutia. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya strawberry.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi, maziwa, matunda ya strawberry, sukari, pamoja na vanilla extract, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review