-
MaandaliziDakika 5
-
Kupika-
-
Walaji2
Smoothie ya strawberry na ndizi, ni smoothie nzuri kwa afya, yenye kuburudisha na yenye virtubisho ambavyo vitakusaidia kukuongeza nguvu unayohitaji kustahimili siku nzima. Smoothie imesheheni Vitamini C kwa wingi pamoja na virutubisho vingine vingi. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kutengeneza smoothie hii ya strawberry na ndizi.
Ingredients
Directions
Step1
Chukua mashine ya kusaga (blender). Weka kwenye hiyo mashine ya kusaga, mtindi wa vanilla, matunda ya strawberry, maziwa, pamoja na ndizi, kisha saga hadi utakapo ona mchanganyiko huo umesagika vizuri na kuwa laini.
Step2
Mimina smoothie kwenye chombo safi, kisha iweke kwenye friji ili ipate baridi, kabla ya kunywa.
Leave a Review