Jarida la Mapishi

Achari ya mtindi na lozi

Achari ya mtindi na lozi | Jarida la Mapishi
  • Maandalizi
    -
  • Kupika
    -
  • Walaji
    1

Achari ya mtindi na lozi, ni achari tamu na rahisi kutengeneza, ambayo hutengenezwa kwa kutumia lozi mbichi, mtindi, limao, pamoja na viungo vya aina mbalimbali. Achari hii yafaa kutumia kwenye kifungua wakati wa asubuhi. Pia waweza kutumia achari hii kwenye kitafunio chochote ukipendacho. Fuata hatua zifuatazo, ili ujifunze jinsi ya kupika achari hii ya mtindi na lozi.

Ingredients

    Directions

    Step1

    Chukua kontena. Weka ndani ya hilo kontena, majani ya giligilani, lozi, mtindi, limao, tangawizi, chumvi, pamoja na pilipili manga, kisha changanya vizuri. Funika vizuri kontena hilo, kisha liweke kwenye friji kwa muda wa saa 4. Baada ya saa 4, ondoa kontena hilo kwenye friji na uliweke pembeni.

    Step2

    Weka Chaat Masala, kisha koroga vizuri.

    Step3

    Weka achari hiyo kwenye chombo safi chenye mfuniko, kisha hifadhi kwenye friji.

    Unaweza Pia Kusoma Hizi

    Leave a Review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *


    The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.